COSOTA inawatangazia wasanii wote kuwa mgao wa mirabaha umefanyika mwezi septemba 2019,hivyo mnakaribishwa kwa ajili ya kuchukua mirabaha, utaratibu ni kwamba msanii ni lazima awe na akaunti na yoyote ambaye hajaleta namba ya akaunti anatakiwa kujaza fomu kwa ajili ya kuhakiki taarifa zake haraka iwezeknvyo kwa kupakua fomu hii na kuijaza kisha kuituma kwenye barua pepe hapa chini ili kupata mgao wake kupita barua pepe:mgao2019@cosota.go.tz
September 3, 2019 at 12:46 pm By admin

Comments are closed.