Mahakimu wakifuatilia mafunzo ya Hakimiliki yaliyoandaliwa na COSOTA kwa kushirikiana na Taasisi ya Usimamizi wa Mahakama Lushoto na Mahakama Tanzania kwa ufadhili wa Serikali na wadau kwenye masuala ya maudhui na utangazaji (Multichoice Tanzania – DSTV na Azam Media) yaliyofanyika mkoani Morogoro.
March 13, 2022 at 8:41 pm By admin

Comments are closed.