Category Archive : Latest News

Rasimu ya Kanuni pendekezwa ya Leseni na haki ya kunufaika na mauzo yanayofuatia ya kazi za mikono: Bofya hapa ili kupitia Kanuni hii kisha tuma maoni yako kupitia Barua pepe ifuatayo: barua@cosota.go.tz

Rasimu ya Kanuni pendekezwa ya Leseni na haki ya kunufaika na mauzo yanayofuatia ya kazi za mikono: Bofya hapa ili kupitia Kanuni hii http://www.cosota.go.tz/wp-content/uploads/2021/08/LICENSING-AND-RE-SALE-REGULATIONS-2021-.pdf   kisha tuma maoni yako kupitia Barua pepe ifuatayo: barua@cosota.go.tz  

COSOTA inawatangazia wasanii wote kuwa mgao wa mirabaha mwaka 2022, hivyo  mnakaribishwa kuja kuchukua kuanza tarehe 31.1.2022. Utaratibu ni kwamba msanii ni lazima ajaze fomu kwa ajili ya kuhakiki taarifa zake  haraka iwezekanavyo kwa kupakua fomu hii   na kuijaza kisha kuituma kwenye barua pepe: group.mirabaha2022@cosota.go.tz

COSOTA inawatangazia wasanii wote kuwa mgao wa mirabaha mwaka 2022, hivyo  mnakaribishwa kuja kuchukua kuanza tarehe 31.1.2022. Utaratibu ni kwamba msanii ni lazima ajaze fomu kwa ajili ya kuhakiki taarifa zake  haraka iwezekanavyo kwa kupakua fomu hii http://www.cosota.go.tz/wp-content/uploads/2022/01/2.-FOMU-TAARIFA-ZA-MUHIMU-ILI-KUPATA-MRABAHA-WAKO.pdf  na kuijaza kisha kuituma kwenye barua pepe: group.mirabaha2022@cosota.go.tz majina ya wanufaika

Follow Us

FacebooktwitterinstagramFacebooktwitterinstagram