Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Morogoro Mheshimiwa Paul Ngwembe akitoa neno wakati wa kufunga mafunzo ya Hakimiliki kwa Mahakimu yaliyoandaliwa na COSOTA kwa kushirikiana na Taasisi ya Usimamizi wa Mahakama Lushoto na Mahakama Tanzania kwa ufadhili wa Serikali na wadau kwenye masuala ya maudhui na utangazaji (Multichoice Tanzania – DSTV na Azam Media) yaliyofanyika mkoani Morogoro.
Maandalizi ya Ukumbi kwa ajili ya hafla ya ugawaji mirabaha linafanyika leo tarehe 28.1.2022 katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Internation Convention Centre jijini Dare es Salaam hafla hii iliyoandaliwa na COSOTA kwa kushirikiana na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo