KAIMU AFISA MTENDAJI MKUU ATEMBELEA BANDA LA COSOTA
KAIMU AFISA MTENDAJI MKUU ATEMBELEA BANDA LA COSOTA
11 Sep, 2026
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu Ofisi ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA) Bi. Naomi Mungure (katikati) atembelea landa la COSOTA katika maonyesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya sabasaba yanayoendelea katika viwanja vya julius Nyerere, Dar es salaam.
Katika ziara hiyo Bi. Mungure alipata fursa za kutembelea mabanda mengine ikiwemo BASATA, BMT na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kubadilishana mawazo na maafisa kuhusu juhudi za kuimarisha maendeleo ya sekta ya sanaa, urasimishaji wa wasanii na ulinzi wa haki za wasanii nchini na kuona namna wanavyotoa huduma na elimu kwa wananchi.
