Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Hakimiliki Tanzania

To protect the rights of content creators...
Ada za Usajili wa Kazi

 

 

  1. ADA ZA KUOMBA UANACHAMA 

Mtu binafsi:           

Kikundi/kampuni/Kwaya/Bendi :

Ada ya Fomu               Tshs.   10,000/=

Ada ya Fomu                  Tshs. 20,000/=

Ada ya Mwaka               Tshs. 20,000/=

Ada ya Mwaka                Tshs. 80,000/=

JUMLA                         Tshs. 30,000/=    

JUMLA                        Tshs. 100,000/=       

 

2. Usajili wa kazi (muziki, filamu, uchoraji, uchongaji, mashairi, scripts ) Tshs . 1,000 /=

3.Maombi ya Clearance Certificate Tshs . 10,000/=