Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Hakimiliki Tanzania

To protect the rights of content creators...
Mafanikio_utatuzi wa migogoro

Ofisi ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA) imeshiriki katika utatuzi wa migogoro   mbalimbali inayohusu masuala ya   Hakimiliki.

1.Mgogoro wa Hakimiliki kati ya    TANZANIA-CHINA  FRIENDSHIP TEXTILE  COMPANY LIMITED (URAFIKI)      na  NIDA  TEXTILE MILLS (T) LTD.

kusoma zaidi pitia hukumu ya kesi hiyo  >> >  Hukumu ya kesi ya masuala ya hakimiliki kati ya kiwanda cha nguo cha URAFIKI na Kiwanda cha nguo cha NIDA