Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Hakimiliki Tanzania

To protect the rights of content creators...
Mgao wa Mirabaha

ORODHA YA WANUFAIKA WA MIRABAHA YA JULAI, 2023. 

N.B Wanufaika ambao wapo kwenye Orodha hii mnaombwa kufika Ofisi ya COSOTA kuanzia tarehe 24/07/2023 saa 1:30 Asubuhi – 09:30 jioni.

Au upakue fomu ya taarifa za kibenki (vendor form) kwa kujaza taarifa zako na ukathibitishe taarifa zako kwenye benki uliyofungulia akaunti na kuzituma kwa barua pepe barua@cosota.go.tz  , kwa maelezo zaidi  piga simu 0738015014.

 

Fomu ya taarifa za kibenki (Vendor form) Download
Orodha ya Wanufaika wa Mirabaha wa Julai 2023 kwa njia ya LOGSHEET Download
Orodha ya Wanufaika wa Mirabaha ya Julai, 2023 kwa njia ya waliosajiliwa na Kazi Download

 

Jinsi ya kujaza  taarifa za kibenki (Vendor form)  

1.SECTION A : Jaza taarifa zako binafsi 

                       - Angalizo  TIN namba ni lazima ,  sehemu ya Classification chagua Orther

2.SECTION B: jaza taarifa zako za benki kwa usahihi

3. SECTION C :  Hii itajazwa na Ofisi