Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Hakimiliki Tanzania

To protect the rights of content creators...
Dira na Dhima

Dira

COSOTA kuwa Ofisi ya hakimiliki inayoongoza katika ukanda wa Afrika, kwa kuhakikisha kuwa Hakimiliki inakuwa  nguvu na zana endelevu ya maendeleo ya Kitaifa na kwamba usimamizi wa pamoja wa haki hufanywa kulingana na utendaji bora na viwango vya utawala.

Dhima

Dhima ya COSOTA ni Kukuza, kulinda na kutetea masilahi ya wamiliki wa haki kwa kushirikiana na wadau wengine muhimu. Hasa kupunguza uharamia, kukusanya na kugawa mirabaha au malipo mengine na kusajili wabunifu pamoja na kazi zao.