Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Hakimiliki Tanzania

To protect the rights of content creators...
ORODHA YA MAJINA YA WANUFAIKA WA MGAO WA 24 WA MIRABAHA ULIOFANYIKA MWAKA 2023 AMBAO HAWAJACHUKUA FEDHA ZAO

ORODHA YA MAJINA YA WANUFAIKA WA MGAO WA 24 WA MIRABAHA ULIOFANYIKA MWAKA 2023 AMBAO HAWAJACHUKUA FEDHA ZAO

N.B Wanufaika ambao wapo kwenye Orodha hii mnaombwa kufika Ofisi ya COSOTA kuanzia  saa 1:30 Asubuhi – 09:30 jioni 

Au upakue fomu ya taarifa za kibenki (vendor form) kwa kujaza taarifa zako na ukathibitishe taarifa zako kwenye benki uliyofungulia akaunti na kuzituma kwa barua pepe barua@cosota.go.tz  , kwa maelezo zaidi  piga simu 0738015014.

 

Fomu ya taarifa za Kibenki (Vendor form) Download
ORODHA YA MAJINA YA WANUFAIKA WA MGAO WA 24 WA MIRABAHA ULIOFANYIKA MWAKA 2023 AMBAO HAWAJACHUKUA FEDHA ZAO Download
   

 

Jinsi ya kujaza  taarifa za kibenki (Vendor form)  

1.SECTION A : Jaza taarifa zako binafsi 

                     - Angalizo  TIN namba ni lazima ,  sehemu ya Classification chagua Orther

2.SECTION B: jaza taarifa zako za benki kwa usahihi na ipigwe muhuri wa Benki husika

3. SECTION C :  Hii itajazwa na Ofisi