UAPISHO
UAPISHO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo leo Novemba 18, 2025 Ikulu jijini Dodoma.ow
