Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Hakimiliki Tanzania

To protect the rights of content creators...
Makabidhiano ya Ofisi
20 Feb, 2023
Makabidhiano ya Ofisi

Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Said Yakub (kushoto)  leo Februari 17, 2023 amekabidhiwa Ofisi na aliyekuwa Katibu Mkuu wa wizara hiyo Dkt.Hassan Abbasi (kulia) ambaye amehamishiwa Wizara ya Maliasili na Utalii,  halfa hiyo ya makabidhiano imefanyika katika Mtumba Jijini