Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Hakimiliki Tanzania

To protect the rights of content creators...
Makabiziao ya ofisi
20 Feb, 2023
Makabiziao ya ofisi

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana leo Februari 17, 2023 amepokelewa katika Ofisi ya wizara ilizopo Mtumba Jijini Dodoma na kukabidhiwa Ofisi na aliyekuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Mohamed Mchengerwa (kulia) ambaye amehamishiwa Wizara ya Maliasili na Utalii