Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Hakimiliki Tanzania

To protect the rights of content creators...
UAPISHO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimwapisha Mhe. Balozi Dkt. Pindi Hazara Chana aliyemteuwa kuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Februari 15, 2023,katika halfa iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam.