Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Hakimiliki Tanzania

To protect the rights of content creators...
COSOTA YAKABIDHIWA CHETI CHA USHIRIKI WA MAONYESHO YA VITABU
20 Oct, 2026
COSOTA YAKABIDHIWA CHETI CHA USHIRIKI WA MAONYESHO YA VITABU

Mkurugenzi Mkuu wa Huduma za Maktaba Tanzania Dkt.Mboni Ruzegea akimkabidhi Cheti cha Shukrani cha COSOTA kwa Ushiriki wa Maonesho ya Vitabu Kimataifa Afisa Hakimiliki COSOTA Bi. Rhoda Lupondo Oktoba 17, 2026 alipotembelea banda la COSOTA.
​Maonesho hayo yamefanyika tarehe 10 - 18 Oktoba, 2026 katika Uwanja wa Maktaba.

slot gacor