Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Hakimiliki Tanzania

To protect the rights of content creators...
NAIBU KATIBU MKUU AZINDUA KAMUSI NA VITABU VYA KUTANGAZA UTALII
20 Oct, 2026
NAIBU  KATIBU MKUU AZINDUA KAMUSI NA VITABU VYA KUTANGAZA UTALII

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Ndg. Methusela Ntonda akizindua kamusi mbili pamoja na vitabu vya kutangaza utalii wa Tanzania vilivyoandikwa kwa lugha ya kiingereza, kichina na kifaransa Oktoba 16,2026 katika Maonesho ya Kimataifa ya Vitabu yanayofanyika jijini Dar es Salaam.
​Naibu Katibu Ntonda amefanya uzinduzi huo kwa niaba ya Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Gerson Msigwa.

slot gacor