Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Hakimiliki Tanzania

To protect the rights of content creators...
KAIMU AFISA MTENDAJI MKUU ASHIRIKI MAONYESHO YA VITABU
13 Oct, 2026
KAIMU AFISA MTENDAJI MKUU ASHIRIKI MAONYESHO YA VITABU

Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Ofisi ya Hakimiliki Tanzania(COSOTA) Bi. Naomi Mungure  akiwa pamoja na maafisa Hakimiliki kwenye Maonesho ya 33 ya vitabu ya kimataifa ambayo yanafanyika kwenye viwanja vya Maktaba Kuu ya Taifa Jijini  Dar es Salaam kuanzia tarehe  11 hadi 19 katika Maktaba ya Taifa.

slot gacor