Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Hakimiliki Tanzania

To protect the rights of content creators...
KAMATI YA USAJILI COSOTA YAKUTANA WABUNIFU WA MFUMO WA BIMA
16 Sep, 2026
KAMATI YA USAJILI COSOTA  YAKUTANA WABUNIFU WA MFUMO WA BIMA

Mkurugenzi wa Kitengo cha Kumbukumbu na Uzingatiaji Bw. Philemon Kilaka wamefanya kikao na kampuni ya Raptors Insuarance Brokers Ltd kujadili ubunifu wa mfumo wa bima kwa abiria na madereva utakaotumika katika vyombo vya usafiri.

Kikao hicho kimelenga kupata ufafanuzi wa ubunifu huo na maneno ambayo walihitaji yalindwe kisheria katika mfumo huo.

Bw. Kilaka amewapongeza Raptors Insuarance Brokers  Ltd kwa mfumo huo utakaosaidia kulinda afya na maisha ya wananchi

slot gacor