UONGOZI WA MRADI WA GUARDIAN OF THE PEAK WAFANYA MAZUNGUMZO NA UONGOZI WA COSOTA
UONGOZI WA MRADI WA GUARDIAN OF THE PEAK WAFANYA MAZUNGUMZO NA UONGOZI WA COSOTA
11 Sep, 2026
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa COSOTA Bi. Naomi Mungure Septemba 11, 2026 amefanya mazungumzo na Mkurugenzi pamoja na Dkt. Godwin Maimu (Balozi Dr. Abbas wa Kombolela) Mwakilishi na Maendeleo ya Ufadhili wa Mradi wa Guardian of the Peak.
Mkurugenzi Bw. Ram Ally K. kuhusu mradi wa uhifadhi wa mazingira, nishati safi ya kupikia na utalii endelevu katika Mlima Kilimanjaro.
Akizungumza kuhusu mradi huo Bw. Ram Ally K. amesema tarehe 24 Oktoba, 2026 wa wamepanga Uzinduzi wa Kitaifa na kuendesha kampeni maalumu ya mazingira na kijamii inayoitwa "Embrace Clean Energy, Protect Tomorrow" na imelenga kurejesha na kuhifadhi mifumo ya ikolojia pamoja na kupambana na mabadiliko ya tabia Nahitaji katika kuulinda Mlima Kilimanjaro.
