Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Hakimiliki Tanzania

To protect the rights of content creators...
MBUGE WA BAGAMOYO AFUNGA RASMI LA TAMASHA LA 44 LA KIMATAIFA LA SANAA NA UTAMADUNI
13 Nov, 2026
MBUGE WA BAGAMOYO AFUNGA RASMI LA TAMASHA LA 44 LA KIMATAIFA LA SANAA NA UTAMADUNI

Mbunge wa Bagamoyo Mhe. Shaibu Issa Ndemanga amefunga rasmi Tamasha la 44 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo yaliyofanyika katika Chuo cha Sanaa na Utamaduni (TaSUBA).  


​Tamasha hilo limehitimishwa Oktoba 31, 2026 kwa kuwa kuwasihi Wanabagamoyo na wadau wengine waendelee kujitolea kwa wingi katika matamasha mengine yajayo na kulinda amani wakati wote.

 
​Mhe. Ndemanga ametoa shukrani kwa Wizara, Taasisi, Makampuni na wadau wote walioweza kushiriki katika Tamasha Kimataifa la 44 la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo.  
​Tamasha lijalo la 45 litafanyika Oktoba 27- 30, 2027.

slot gacor