Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Hakimiliki Tanzania

To protect the rights of content creators...
MHE. MKENDA ATEMBELEA BANDA LA COSOTA
22 Oct, 2026
MHE. MKENDA ATEMBELEA BANDA LA COSOTA

Mgeni rasmi katika ufunguzi wa Kongamano la Nne la Kitaifa la Uboreshaji wa Huduma za Maktaba Mheshimiwa Waziri wa Elimu Prof. Adolf Mkenda atembelea banda la COSOTA katika Maonesho ya Kongamano hilo leo Oktoba 20, 2026 na kutoa pongezi kwa COSOTA kushiriki katika Maonesho hayo muhimu yaliyolenga Maktaba, Waandishi na Wasambazaji wa Vitabu nchini.  
​Maonesho hayo yanafanyika jijini Dar es Salaam katika Uwanja wa Maktaba Kuu ya Taifa kuanzia tarehe 20 - 22 Oktoba, 2026.  
​COSOTA imeshiriki maonesho hayo kwa ajili ya kutoa elimu ya hakimiliki kwa kazi za maandishi na kutoa huduma ya usajili wa kazi.  
​

slot gacor