• Mahakimu wakifuatilia mafunzo ya Hakimiliki yaliyoandaliwa na COSOTA kwa kushirikiana na Taasisi ya Usimamizi  wa Mahakama Lushoto na Mahakama Tanzania kwa ufadhili wa Serikali na wadau kwenye masuala ya maudhui na utangazaji (Multichoice Tanzania – DSTV na Azam Media) yaliyofanyika mkoani Morogoro.

  • Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Morogoro Mheshimiwa Paul Ngwembe akitoa neno wakati wa kufunga mafunzo  ya Hakimiliki kwa Mahakimu yaliyoandaliwa na COSOTA kwa kushirikiana na Taasisi ya Usimamizi  wa Mahakama Lushoto na Mahakama Tanzania kwa ufadhili wa Serikali na wadau kwenye masuala ya maudhui na utangazaji (Multichoice Tanzania – DSTV na Azam Media) yaliyofanyika mkoani Morogoro.

  • Maandalizi ya Ukumbi kwa ajili ya hafla ya ugawaji mirabaha linafanyika leo tarehe 28.1.2022  katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Internation Convention Centre jijini Dare es Salaam hafla hii iliyoandaliwa na COSOTA kwa kushirikiana na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo

  • Msanii wa muziki  wa bongo fleva Chege Chigunda maarufu kama Chege akihakiki taarifa zake za kibenki kwa ajili ya kulipwa mirabaha yake.

  • Msanii wa muziki  wa bongo fleva Ambwene Yesaya maarufu kama AY akihakiki taarifa zake za kibenki kwa ajili ya kulipwa mirabaha yake katika mgao uliofanyika tarehe 28.1.2022.

Welcome Note

Creativity is an ongoing process in our Nation. Many people from the rural to the urban areas come up with creative works which the Country and the Copyright Society of Tanzania needs to appreciate them. These creative works may range from music, films, sculptures, paintings, carvings and literary works among others.


The Copyright Society of Tanzania (COSOTA) is established under section 46 of the Copyright and Neighbouring Rights Act No.7/1999.


COSOTA is under the Ministry of Arts,Culture and Sports.